jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
waliostaafu bila kujua wanakoelekea wanakaa miaka 5 tu ila huyu sioni akikatiza, atapelekwa mafichoni na pension yake akija kuhamaki hajui aliingilia wapi na pa kutokea hajuiHahahahahaaaaa jomba'z tumshauri wajameni, hana muda atastaafu mnajua, kama akistaafu na hii hali ya ndembendembe halimruki basi baada ya miaka miwili hola... Aisee baba naomba ukaombewe tena wk hivi maana kwa umri wako na hizo hemko hautabaki salama kwani hayo matranta ndio yanazidi kuongezeka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenikumbusha story moja mzee mmoja alipata pension yake kule Arusha, duuuh akapata hizo za ndembwe ndembwe cjui tuziiteje, alipelekwa matejoo, hakumbuki aliingilia wapi ila hela zilivyoisha vijana walimvamia na amsha amsha nyingi ile kwenda polisi kuripoti,
anaulizwa mzee ilikuwa maeneo gani, kibabu kinasema nakumbuka matejoo ila sijui mtaa ni upi maana nilipelekwa usiku na siku ya amsha amsha ilikuwa usiku.
Chezea watu wa ganja weweeee ni hatareeeee