Nina tatizo la dhakari kusinyaa

Nina tatizo la dhakari kusinyaa

DeeJay TEE

Member
Joined
May 2, 2021
Posts
23
Reaction score
12
Jamani ndugu zangu kwema?

Nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhakari kusinyaa sana na kuwa kama wa mtoto mdogo.

Naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vibaya kuiona hii hali.

Msaada wenu wadau.
 
Jamani ndugu zang kwem.......nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhahiri kusinyaa san na kuwa km wa mtoto mdogoo....naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vbya kuiona hii ali msahada wenu wadau
Kwanza kabisa ondoa hofu, halafu chunguza tatizo, waone wenye taaluma yao
 
Inasinyaa muda wote mkuu ila kwenye show inasimama fresh tatizo liwake jua inyeshe mvua inakuwa imesinyaa
Wewe unachotaka ni nini mkuu??
Iyo hali imekukumba sasa hivi au ndivo ulivozaliwa??

Kama inakua fresh wakati wa show na inasimama fresh na inakua kubwa sioni kama kuna shida labda kama hata ikisimama bado inakua ndogo vilevile(kibamia).

Uume mwa mwanaume unapimwa unaposimama na sio ukiwa doro mkuu.
 
Mimi nitatofautiana nawewe, Kipimo kinaanza ikilala doro.
 
Sio kweli ikilala doro haina kazi hiyo mkuu. Kuna nyingine ni ndogo zikilala ila ikisimama inavimba na kurefuka mno, ila sasa zipo na ndogo kabisa ambazo hata zisimame ni ndogo vile vile( ndo vibamia hivyo sasa).

Kuna yingine (wengi), ni za wastani ama kubwa ikisimama inakaza misuli tu haiongezeki ukubwa wowote.
 
Samahani, je wewe ni dokta??!
 
Samahani, je wewe ni dokta??!
Hapana mtafiti tu mkuu.

In addition...
Ni jambo dogo kuyajua hayo. Na wanaume wengi wanakua under depression kama mtoa mada kwa sababu kama izo(kutokujua yupo category ipi). Na kila category ina namna yake kumrishisha mwenza as long as unajiamini.
 
Sio kweli ikilala doro haina kazi hiyo mkuu. Kuna nyingine ni ndogo zikilala ila ikisimama inavimba na kurefuka mno, ila sasa zipo na ndogo kabisa ambazo hata zisimame ni ndogo vile vile( ndo vibamia hivyo sasa).
Kuna yingine (wengi), ni za wastani ama kubwa ikisimama inakaza misuli tu haiongezeki ukubwa wowote.
Uko sahihi mkuu
 
Weka picha tuone sasa.....
Ikiwa doro na ikiwa imesimama tukupate fresh unachomaanisha aswa
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Jamani ndugu zangu kwema?

Nimekuj kwenu wanaume wenzngu ninatatizo la dhakari kusinyaa sana na kuwa kama wa mtoto mdogo.

Naombeni matibabu ndugu zangu najisikia vibaya kuiona hii hali.

Msaada wenu wadau.
Picha please tukuelewe vizuri.
Kwa picha utapata ushauri mzuri zaidi
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Inasinyaa muda wote mkuu ila kwenye show inasimama fresh tatizo liwake jua inyeshe mvua inakuwa imesinyaa
Kama ikisimama inakuwa na size nzuri. Inatosha usijipe stress. Kama una wife/mpenzi piga sana mashine, kunywa maji mengi 2 litres and above fanya mazoezi. Utaongeza mzunguko wa damu kwa kiasi.
 
Back
Top Bottom