Nina tatizo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina tatizo gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by oldd vampire, Jun 10, 2011.

 1. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jf doctor,nisaidieni na hili..katika life yangu mpaka hapa nilipo sijawahi fika orgasm,sasa sijui ni tatizo gani..sio kwamba mpenzi wangu haniandai vizuri hapana,ananiandaa mpaka napata hamu ya sex,lakini mpaka anamaliza mie wala..hua najaribu niwe na concentrate na kuvuta hisia napo kua na sex ila wapi..sometimes nakua kama nakaribia fika alafu hamu yakata,what is this jamani?
   
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,309
  Trophy Points: 280
  Basics first - mpenzi wako huwa anashusha mzigo baada ya dakika ngapi?
   
 3. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Its baada ya half an hour,na hua afanya hivyo ili at least anridhishe ndo mana ana kaa sana
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo ni neno. Hapa ni Dr. tukisema tutaambiwa tuna mathusi.
   
 5. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  una umri gani?
   
Loading...