NINA TATIZO GANI ?? AU NI KAWAIDA?

NINA TATIZO GANI ?? AU NI KAWAIDA?

Dada1

Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
20
Reaction score
23
Naomba msaada wa mawazo kidogo nini nifanye
Nilikutana na mwenza wangu tarehe 03 February baada ya kipindi kirefu kama mwaka kua safarini
Cha ajabu baada ya masaa kadhaa (kabla ya masaa 24 toka tu sex) nikaanza kuhisi maumivu ya kukaza kwa mgongo maeneo ya kiuno na tumbo kama kuvurugika yaani kama kuna mizungusho wa kitu tumboni na baada ya muda nikahisi hedhi kidogo kutoka na kisha kukata
Kwa kumbukumbu zangu nilipata hedhi ya mwisho tarehe 23 January
Je hii yaweza kua ni tatizo gani?
Naomba kufahamishwa ili nijue hatua za kuchukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kwakipindi chote hicho ukuwahi kushiriki sex, kukaza kwamgongo itakuwa sababu nihiyo, nakuhusu kuhisi Hedhi alafu ikakata itakuwa jamaa aliisokomeza kweli kweli kwahiyo kaenda kuvuruga mpangilio wako woteee wahedhi, nakuhusu kuhisi tumbo kuvuruga kama kuna vitu tumboni basi huo ndio uumbaji/mimba, jiandae kulea usiitoe hiyo mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je,

hiyo hali ilishawahi kukupata kabla?
 
Kama kwakipindi chote hicho ukuwahi kushiriki sex, kukaza kwamgongo itakuwa sababu nihiyo, nakuhusu kuhisi Hedhi alafu ikakata itakuwa jamaa aliisokomeza kweli kweli kwahiyo kaenda kuvuruga mpangilio wako woteee wahedhi, nakuhusu kuhisi tumbo kuvuruga kama kuna vitu tumboni basi huo ndio uumbaji/mimba, jiandae kulea usiitoe hiyo mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni mimba ni heri tu,wala sitaitoa maana hautakua uzazi wa kwanza na itakua ni baraka kwetu ila kwa kweli hiyo hali imenishtua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana haijawahi nitokea

Sent using Jamii Forums mobile app
sababu ni kukaa muda mrefu bila sex so wakati wa tendo mkashtua ama kugusa vilivyomo ndan ambavyo havijaguswa kwa mda, sio tatizo kubwa dada ipo dawa ya kukutibu tatizo lako ukawa fresh kabisa na hata kama utakua pregnant haitavuruga chochote sababu ni dawa iliyotengenezwa kwa mboga mboga na matunda so ni chakula cha kurutubisha mfumo wako wa uzazi na sex perfomance
 
Yaweza kua ila kwa kukaa kwa muda mrefu hii si Mara ya kwanza maana mwenzangu alipata nafasi ya kusoma ng'ambo na hukaa huko na kurudi apatapo nafasi japo amemaliza sasa kilichompeleka na alikua akirudi tunakutana bila hali hii kunitokea na ndio sababu ya kutishika kwangu na hali iliyonitokea jana mpaka muda huu naongea hakuna hedhi ni mkavu tu ilinitoka jana tena kwa muda mfupi sana

unajihisi poa lakini unatakiwa ujiulize kama sio siku za hedhi yako je hiyo damu imetoka wapi???? thats why nimekushauri kupata dawa itayosawazisha any demage ndani yako.
 
Sijihisi poa nipo kwenye mawazo mengi lakini nisingependelea kutumia dawa bila ya kujua tatizo laweza kua nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom