Nina Tafuta Soko la Madini Silicoin

muvika online

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
375
283
Habari Mwaka Huu Mwanzoni nilinunua Madini ya Silicon kwaajili ya Kusafirisha kwenda kuyauza nje ila nimekwama kutokana na Matatizo ya Kifamilia Pesa zote nilizokuwa nimepanga nitanunulia silicon nimetumia Hivyo nauza Silicon ambazo nilinunua kabla ya kupata matatizo, zipo Gram 700+ na zipo safi kabisa hazija pasuka pasuka, Gram 1.5 na 2.5 zote jumla nilinunua Milioni 8,

Kama unajua soko lake linapatika wapi naomba unijuze pia kama kuna mnunuzi kabisa njoo inbox tuyajenge
 
Back
Top Bottom