Nina swali naomba kusaidiwa

Doreen20

Senior Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
137
Reaction score
77
Nina ndugu yangu hajaingia period mpk dakika hii na cha kushangaza hajawah lala na mwanaume yoyote yule lakin mwezi wa pili aliingia je shida inakuwa iko wapi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha...
Yani nyinyi akilizenu hua zinapataga mitetemeko midamingine..swali jepesi kama hilo ukiwa ww ni mwanamke...kashaliwa huyo
 
Baadhi ya wanawake period zao haziko kawaida kwamba zinakuja kila baada ya siku 28. Hawa huweza kukaa hata siku 40 au zaidi bila kupata period. Na hawa huwa ni vigumu sana kuzijua siku zao ambazo ni safe au si safe kupata mimba.

Nina ndugu yangu hajaingia period mpk dakika hii na cha kushangaza hajawah lala na mwanaume yoyote yule lakin mwezi wa pili aliingia je shida inakuwa iko wapi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya wanawake period zao haziko kawaida kwamba zinakuja kila baada ya siku 28. Hawa huweza kukaa hata siku 40 au zaidi bila kupata period. Na hawa huwa ni vigumu sana kuzijua siku zao ambazo ni safe au si safe kupata mimba.
Nashukur sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Huwa anatumia uzazi wa mpango!?

T[emoji769]
 
Nina ndugu yangu hajaingia period mpk dakika hii na cha kushangaza hajawah lala na mwanaume yoyote yule lakin mwezi wa pili aliingia je shida inakuwa iko wapi hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwezi wa pili ukiingia tarehe ngapi?na ilitoka kwa sikungapi?
Period yako huwa inakuwa na mzunguko wa siku ngapi?
Ulivyomaliza period nini kilitokea?safari,kupata kazi,kuacha kazi,
Unaishi n mume?
Mara ya mwisho kukutana kimwili na mpenzi wako ni lini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…