Nina swali la muhimu

Nina swali la muhimu

Natalia hao wazee waacheni..kumbe wanajuana toka ujana waoo..kuna alimchukulia mwenzie mpenzi...kuna aliyeolewa na mume mwingine..and so on...waache wamalize yao...siku zao ni chache...we na mumeo ba wifi yako fanyeni yenu....kingine mshauri mumeo awasamehe ..bado ni wazazi tuu no matter what.
 
Umekosa nidham kuja kumjungua mama mkwe wako huku JF,mambo mengne hayaitaji ushauri na kuyaweka hadharani kiasi hiki.
 
Kaka zangu na dada zangu.

Is it normal x wife kumualika x husband na mkewe dinner.Mama mkwe wangu widowed anafanya dinner kumualika baba mkwe wangu na mkewe .Waliachana miaka 40 iyopita.

Mnaonaje hapa?mie labda uafrica umenizidi ila mnaonaje niende au nimweleze mme wangu sipendi.Kwakweli mie mkatoliki sipendi ushenzi wa tabia au mnaona na over react.
Shosti usiumize sana kichwa kwa vitu kama hivyo wewe ni mkwe kama sikosei,ningekua wewe ningetafuta njia au pakwenda na Mumewangu ikiwa naona hapo kwenye mualiko sijapapenda, au kama ikibidi niende basi ningefika late nikala nakuondoka,au nisiende kabisa, na vyovyote atakavyokua huyo ni mkwe awe mapepe ndio alokuzalia mume...Utanisamehe ikiwa nimesema sana........
 
Watu wakiachana hakuna vita, maisha yanabaki kama yalivyo na yanaendelea, kuachana sio vita, chuki wala kuwekeana kinyongo


Kaka zangu na dada zangu.

Is it normal x wife kumualika x husband na mkewe dinner.Mama mkwe wangu widowed anafanya dinner kumualika baba mkwe wangu na mkewe .Waliachana miaka 40 iyopita.

Mnaonaje hapa?mie labda uafrica umenizidi ila mnaonaje niende au nimweleze mme wangu sipendi.Kwakweli mie mkatoliki sipendi ushenzi wa tabia au mnaona na over react.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom