Nina swali la muhimu

Nina swali la muhimu

Baba mkwe wangu bado yupo na mkewe na mama mkwe wangu mumewe Kafa .suddenly anafanya dinner na anawaalika na mume wangu ni wazazi wake .Mimi sipendi kwa Sababu inaelekea mama mkwe bado anampenda baba mkwe wangu .

Hapa umesema INAELEKEA MAMA MKWE ANAMPENDA BABA MKWE then ukani quote ukasema MAMA MKWE ANAMPENDA BABA MKWE KASHAWAAMBIA WANAE me nimekujibu kutokana na hio INAELEKEA YAKO then wanae hawapendi, wanaenda so ww shida iko wapi?? U are simply an outsider jueni nafasi zenu.... practically huezi kuzuia wala kuongeza chochote kwenye hii situation, ur oppinion will matter less. Kua mpole tu mamaa(kama hio story ni yakweli) acha figisu kwenye familia za watu
 
Wivu wa nini.mama mkwe wangu ashawaambia wanae bado anampenda baba Yao .situation is very complicated kwa Sababu mume wangu anajisikia vibaya kwa Sababu aliwatenga wanae wakalelewa na mama wao wakambo.Tunamuheshimu Huyu mama .na Huyu mama wa kambo ashalalamika

Huyo mama wa kambo kwa nini asiongee na mumewe anaongea na watoto,kumbuka mama zetu huwa wanatukosea pia,lkn bado sikio halizidi kichwa!!kama baba kaitikia wito basi they know each other!
 
Wivu wa nini.mama mkwe wangu ashawaambia wanae bado anampenda baba Yao .situation is very complicated kwa Sababu mume wangu anajisikia vibaya kwa Sababu aliwatenga wanae wakalelewa na mama wao wakambo.Tunamuheshimu Huyu mama .na Huyu mama wa kambo ashalalamika

Hili si jambo rahisi kama linavyosomeka, wahusika wanaweza kupata kizunguzungu. Ninachoweza kusema hapa ni kukukumbusha kanuni ya ushauri kwa mshauriwa.

Mshauri mzuri ni yule anayetoa ushauri unaokubalika kwa mshauriwa, kwa hiyo hilo unalofikiria fikiria kulitekeleza litekeleze wala usigombane na nafsi yako.
 
Alimuacha baba mkwe wangu wakati mume wangu Ana miaka 2 na dada ake 1.akaingia mtini akaolewa gold digger.rich man after rich man sasa mumewe akafa ghafla akaanza kujialika mwenyewe.na huyo mumewe alikuwa very abusive .

Wewe Natalia usitafute kuvuruga mahusiano ya mmeo na mama mkwe wako (mama wa mmeo) kwa matatizo ya chuki zako na kutosamehe. Jitahidi kuboresha urafiki kuliko kupanda chuki. Usidharau mama wa baba watoto wako, umemuita 'gold digger' duuu! Huwa unamuita hivyo mbele ya mmeo naye anachekelea.?
 
Mama mkwe wangu alimweleza mume wangu bado anampenda mumewe wa zamani

Eeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!! hapo sasa kazi, ila kwasababu ni mjane na huyo ni baba watoto wake, wacha miujiza itendeke, maskiniiii.
 
Mume wangu na wifi yangu walimuuliza kulikoni.mama mkwe wangu mapepe Fulani hivi

We waachie mambo yao wamalize wenyewe,we we ni muolewaji tu,Leo upo kesho haupo,hao wazee hawakuhusu,wanawahusu wanao ambao ndo damu yao lkn we ni MTU Baki,kama unaipenda ndoa yako na watoto wako usitie neno kwenye hayo mambo,waachie wenyewe,kama ishu ni dinner tafuta excuse potezea,kama mama mkwe anarudisha majeshi pia haikuhusu,waachie wanawe!!

Je angekuwa ndo mama yako anafanya hivyo kwa baba yako ambaye walishatengana we ungesema nini hapo dhidi yake?na hata mama alipoondoka ulikuwa bado mdogo hujui kitu,una uhakika gani kama ye ndo alikuwa source ya divorce..?

Ya ngoswe mwachie ngoswe,we hangaika na ndoa yako tu!
 
Sasa swali,je baba mkwe wako na mkewe wame accept mwaliko?

Wamekubali.mama mkwe wangu na huyo mke wa sasa walikuwa mashoga wakanyang'anyana bwana.ndio maana tunahisi mama mkwe wangu roho bado inamuuma
 
Exactly nishamwambie mama mkwe wangu siwezi kuja naenda kumpokea mtu airport
 
Natalia. Angalia Ndoa Yako. Nawe Pia Una Safari Ndefu. Swala La Ma Mkwe Kumtelekeza Mummeo/ Mwanao Haikuhusu. Tena We Ndo Ungekua Muunganishi. Yule Ni Mama Yake Na Hi Huenda Anataka Kuomba Msamaha Kwa Wanae. Me Pia N Mmoja Wapo. Nimeingia Ndoa Na Kukuta Ba Mkwe Na Ma Mkwe Walitengana Pind Mume Wangu Ana Miaka Miwil. Hayakunihusu Mana Ckujua Mwenye Kosa N Nan. Nilikuta Mme Wangu Hana Mawasiliano Na Baba Yake Toka Miaka 2 Had Miaka 32. Na Hakutaka Kabisa Kumsikia Kulingana Na Maneno Anayoambiwa Na Mama Yake. Na Wanaish Kijij Kimoja{ma Mkwe Na Ba Mkwe} Lakin Niliiondoa Ile Hali Mpaka Leo Mme Wangu Na Baba Yake Ni Marafiki. So I2mie Nafas Yako. Na Nilichokuja Kugundua N Mama Mkwe Alikua Mkorofi Baada Ya Kufatilia Na Mengine Anayo Nifanyia. One Day Ntaleta Story Ya Familia Yangu. Waache Na We Ndo Uwe Mshaur Mkuu Watoto Wakaungane Na Mama Yao. Huwez Jua Kw Nin Alikimbia. Ni Sir Za Ndan Ya Kawaida Ndo Hudhihirishwa
 
Wamekubali.mama mkwe wangu na huyo mke wa sasa walikuwa mashoga wakanyang'anyana bwana.ndio maana tunahisi mama mkwe wangu roho bado inamuuma

Sasa kumbe alinyang'anywa mine wake wa ujana,sasa kosa lake liko wapi hapo,bila shaka huyo mama wa kambo ndo alivuruga ndoa ya mwenzake,sasa atulie tu na si kulalamika.

Halafu nilishakwambia wao wanajuana ndo mana wamekubali kualikwa,sasa kazi kwenu nyie mnaoleta ushabiki mambepe!!
 
Wewe Natalia usitafute kuvuruga mahusiano ya mmeo na mama mkwe wako (mama wa mmeo) kwa matatizo ya chuki zako na kutosamehe. Jitahidi kuboresha urafiki kuliko kupanda chuki. Usidharau mama wa baba watoto wako, umemuita 'gold digger' duuu! Huwa unamuita hivyo mbele ya mmeo naye anachekelea.?
Mie sina matatizo ila mume wangu hapendi kabisa .Na sipendi mume wangu anashikwa na hasira .vituko anavyofanya sio vya kawaida.its embarrassing kwa kweli
 
Sasa kumbe alinyang'anywa mine wake wa ujana,sasa kosa lake liko wapi hapo,bila shaka huyo mama wa kambo ndo alivuruga ndoa ya mwenzake,sasa atulie tu na si kulalamika.

Halafu nilishakwambia wao wanajuana ndo mana wamekubali kualikwa,sasa kazi kwenu nyie mnaoleta ushabiki mambepe!!

Wala mama mkwe wangu alimwacha mumewe na watoto wawili.huyu mama wa kambo aliwalea .
 
Natalia. Angalia Ndoa Yako. Nawe Pia Una Safari Ndefu. Swala La Ma Mkwe Kumtelekeza Mummeo/ Mwanao Haikuhusu. Tena We Ndo Ungekua Muunganishi. Yule Ni Mama Yake Na Hi Huenda Anataka Kuomba Msamaha Kwa Wanae. Me Pia N Mmoja Wapo. Nimeingia Ndoa Na Kukuta Ba Mkwe Na Ma Mkwe Walitengana Pind Mume Wangu Ana Miaka Miwil. Hayakunihusu Mana Ckujua Mwenye Kosa N Nan. Nilikuta Mme Wangu Hana Mawasiliano Na Baba Yake Toka Miaka 2 Had Miaka 32. Na Hakutaka Kabisa Kumsikia Kulingana Na Maneno Anayoambiwa Na Mama Yake. Na Wanaish Kijij Kimoja{ma Mkwe Na Ba Mkwe} Lakin Niliiondoa Ile Hali Mpaka Leo Mme Wangu Na Baba Yake Ni Marafiki. So I2mie Nafas Yako. Na Nilichokuja Kugundua N Mama Mkwe Alikua Mkorofi Baada Ya Kufatilia Na Mengine Anayo Nifanyia. One Day Ntaleta Story Ya Familia Yangu. Waache Na We Ndo Uwe Mshaur Mkuu Watoto Wakaungane Na Mama Yao. Huwez Jua Kw Nin Alikimbia. Ni Sir Za Ndan Ya Kawaida Ndo Hudhihirishwa
Baba mkwe wangu anamiaka 79 mama mkwe 75 na wakambo 60
 
Wala mama mkwe wangu alimwacha mumewe na watoto wawili.huyu mama wa kambo aliwalea .

Bado ni mama yao tu,hata kama hakuwalea si aliwaacha kwenye mikono ya baba yao na hakuwatupa mtaroni,,hivyo wanatakiwa kusamehe.
 
Baba mkwe wangu anamiaka 79 mama mkwe 75 na wakambo 60

Hahahaaaaa!Nimekwambia kuanzia mwanzo hao ni watu wazima wanajua wanachofanya,kwa umri huo kitu gani kibaya kitatokea,??jamani we una dhambi!!
 
Baba mkwe wangu anamiaka 79 mama mkwe 75 na wakambo 60
kumbe ni wazee sasa hao si ni babu na bibi he kumbe chini kuna kuwa kunawasha mm huwa nazani wanaachaga kugegedana sasa nmeaamini ng"ombe hazeeki maini
 
Halafu kumbe we huna busara,yaani kwa mzee kama huyo,ndo unamuwazia mabaya na kukataa dinner yake?kweli una dhambi mana ndo anamalizia nngwe yake ya mwisho.

Halafu hata mumeo na wifiyo wana matatizo,Mimi mama yangu kwa umri kama huo siwezi mchukia hata afanyeje!!ningependa amalize maisha yake kwa FURAHA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom