Wachu macheke
Senior Member
- Oct 8, 2024
- 171
- 347
Asante kwa maoni ngoja na wengine watoe maoni yaoKwa nini isiwezekane
Asante kwa maoni ngoja na wengine watoe maoni yao
Angalau umetutia moyo mimi na jamaa yanguAnasoma vizuri tu!
Tatizo sio vijana Wa hovyo tatizo Ni mpitiwaji akidhamiria kupitiwa!!
Mwambie rafiki yako asiache kumtembelea Mara Kwa mara iwe mdada anataka au hataki!!Angalau umetutia moyo mimi na jamaa yangu
bro mwambieni demu hasomeshwi kudadekiiKaa nae ndani, umpe degree humo humo ndani
Upuuzibro mwambieni demu hasomeshwi kudadekii
Mpuuzi mwenyewe, kenge maji weeUpuuzi