Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,150
- 7,416
Research gani wewe? acha porojo. kila siku hilo neno naliona humu kama ninavyona neno m.kwere na wala hakuna anayebugudhiwa nalo.
Vitu Kama hivyo huwa ni Ngumu wewe kuelewa! Angeleta udaku usingesema porojo
nimefanya tafakuri nikagundua wewe kilaza bila hata chembe ya wasiwasi,yaani na maelezo yote hayo hauelewi,we hutufai! Kasema umuhimu wa kutrace historical background ya hicho kinachosemwa,pia hali ilikuaje kabla na baada ya multiparty system, pia research techique iliyotumika,sample size nje na ndani ya kinacho lalamikiwa,kwa kuzingatia social stratification,mwisho kama ulitest hypothesis yako kama alivosema.sawa wewe mwenzetu vp? Au research siku hiz mwiko,ni kujisemeasemea tu porojo.badilika muda ndio huu.
Kuongezea bob walio wengi JF hawana hata kadi za CDM! Swali lako kuelekezwa CDM naona unalenga kwenye udini zaidi. Hapa JF nadhani mimi nimelitumia sana hili madrasa al sul kwa wale wenye chuki zidi ya ukristo....mfano angalia gazeti la An-nuur na ile radio ya Moro! Post zenye kumwita padre, wakatoliki, wakristu, kafir, na chochote Kama hicho kwa Dr Slaa na wapenzi wa CDM najua wawafahamu niwaambiao wazee wa hiyo madrasa bila kudharau wenye michango yenye akili JF bila kuweka kashfa
Ha ha ha
Usijitetee, jibu swali
Ulisema wewe ni Kilaza eeehhh
Teh teh teh, kwani hilo gazeti na radio ndio madrasa? kama ni hivyo nitakubali ndiyo
Kuna thread nyingine pia naona imepotea. Ile ya Heche.Teh teh teh, kwani hilo gazeti na radio ndio madrasa? kama ni hivyo nitakubali ndiyo
Kuna thread nyingine pia naona imepotea. Ile ya Heche.
Hizi discussion zilianza taratibu kwa Mkandara kutoa angalizo kule kabla ya kufika hapa tulipofika. Kwa bahati mbaya saana Regia Mtema akiwa mhusika kwa siku ya leo. Tena angalizo lile lilikuwa kwa nia njema kabisa kama ambavyo Mkandara hujitahidi kuepushana misuguano ya kidini hapa jamvini. Lakini kama kawaida MODs leo tena wameihamishia wapi sijui. Mie nilikopi nilijua tu lazima dada yule achemke maana siasa zinamkimbiza. Ninayo na ile ya Kiranga, kwa kuwa wewe Mkuu ni mwenyeji nadhani unaikumbuka saana ile ya uchaguzi.Mkuu hii inahusiana vipi na thread ya swali kwa wanaCDM?
Mkuu nimekutumia PM isome na labda nishereheshe kidogo tu kwamba CCM na wananchi kwa ujumla wanayo kila haki ya kuhoji uwezo wa Dr.Slaa kuwa rais ikiwa yeye alikuwa ama ni kiongozi wa dini. Na haki hiyo hiyo wanayo raia wote kuhoji mtu yeyote uwezo wake kuongoza ikiwa ana mahusiano makubwa na Taasisi yeyote acha mbali Upadre lakini haina maana wanaitukana dini nzima.Kuongezea bob walio wengi JF hawana hata kadi za CDM! Swali lako kuelekezwa CDM naona unalenga kwenye udini zaidi. Hapa JF nadhani mimi nimelitumia sana hili madrasa al sul kwa wale wenye chuki zidi ya ukristo....mfano angalia gazeti la An-nuur na ile radio ya Moro! Post zenye kumwita padre, wakatoliki, wakristu, kafir, na chochote Kama hicho kwa Dr Slaa na wapenzi wa CDM najua wawafahamu niwaambiao wazee wa hiyo madrasa bila kudharau wenye michango yenye akili JF bila kuweka kashfa
Mkuu wangu usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Nimeuliza nipate kujua maanake Uislaam unashambuliwa kushoto kulia kwa sababu ya JK, CCM sijui Nape. Na sioni mahusiano ya hawa watu na Uislaam au maamuzi yao.Hata Mkandara analeta hoja km hizi ??!!