Nina swali jamani

Kila mtu anajinsi yake ya kuishi....ila kuna watu kama hawalal vileee
 
Tunaingia shift za usiku ukiwa umelala sawa dogo,wewe fuata ratiba zako vinginevyo utapotea.
 
Anza kwanza kujiuliza muda ambao bosi wako anaingia na kutoka ofisini?
Aidha mbona hujiulizi nikwanini wewe huwezi kwenda Kempski kula maisha lakini wenzio kila siku wanahudhuria mpaka wamewekewa glass zao spesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…