Nina stress sana, ushauri unahitajika

Da..

Kuna nini ..!!!.mnasumbuka sana.
 
Hii kawaida kwa akinamama! Anaweza kutamka jambo na kesho ukimuuliza anakana. Jifanye mjinga mpaka ajifungue na akijifungua pima DNA na ukikuta wako anzisha mtiti au akuheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…