Nina soko la tourmaline and surphire

Obadiahmayunga

Senior Member
Sep 19, 2014
163
250
habari wadau nina market kubwa ya green tourmaline and surphirenzuri interm of 4C'S yaan CLARITY NZURI,CARAT WEIGHT KUANZIA GRAM 3 NA KUENDELEA VERY GOOD COLOR AND VERY GOOD CUT
MY REGARDS
MY NUMBER IS 0785220111
 
BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,456
2,000
We mwenyewe soma ulichoandika uone kama unaelewa. Maana thread yako haionyeshi unataka nini, ipo ipo tu
 
Obadiahmayunga

Senior Member
Sep 19, 2014
163
250
habari wadau nina market kubwa ya green tourmaline and surphirenzuri interm of 4C'S yaan CLARITY NZURI,CARAT WEIGHT KUANZIA GRAM 3 NA KUENDELEA VERY GOOD COLOR AND VERY GOOD CUT
MY REGARDS
MY NUMBER IS 0785220111
mwenye tourmaline and surphire nzuri interm of 4C'S yaani carati weight kuanzia gram 6 and above,very clear clarity,very good color and very good cut zile za congo ndio first priority anitafute kwenye hiyo mentioned phone number ninanunua hizo mentioned gem stones
 
Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,144
2,000
mwenye tourmaline and surphire nzuri interm of 4C'S yaani carati weight kuanzia gram 6 and above,very clear clarity,very good color and very good cut zile za congo ndio first priority anitafute kwenye hiyo mentioned phone number ninanunua hizo mentioned gem stones
Unanunua Bei gani kwa Carat?
Ikiwa kwa ubora unaotaka na original yake toka Congo...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom