Nina soft cop kama nusu ya kitabu cha Mashimo ya Sulemani.

Ni sahihi kabisa kwani sheria ya hakimiliki inasema kitakuwa free kwa watu miaka 75 baada ya kuchapishwa kwake. Na Nyingine miaka 75 baada ya tarehe ya kifo ya originator hivyo hufanyi kosa la jinai kukiweka hapa hizo hadithi ni za miaka mingi sana
 
Shukran kwa ufafanuzi murwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…