Nina siku zaidi ya nne sijaisikia Redio Free Africa(RFA) hewani. Je imefungiwa tena?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Poleni na majukumu wadau. Mi huwa napenda baadhi ya vipind vya RFA lakini nina siku nne siipati. Je wamefungiwa tena? Wenye taarifa tafadhali.
 
Labla itakuwa wanabadilisha mitambo kuendana na kasi ya hapa kazi tu.....
 
Mimi ni Siku ya tatu Leo kwangu Star tv haioneshi kitu sijui shida ni nini maana bbc dira ya dunia ishanipita
 
Halafu kweli hii kitu, star tv kwa dstv yangu haionekani, RFA nayo kimya naona madeni yale ndio issue kubwa sana
 
Poleni na majukumu wadau. Mi huwa napenda baadhi ya vipind vya RFA lakini nina siku nne siipati. Je wamefungiwa tena? Wenye taarifa tafadhali.
Hawa jamaa wana vipindi viwili tu vizuri kwangu.NI KUTOKA MAGAZETINI NA BBC SWAHILI.Ukija kwenye vipindi vyote vya mahojiano ni vituko sijui kawaokota wapi wale watangazaji au anawalipa mshahara gizani nini.vichwa zero
 
Back
Top Bottom