Nina shida ya mkopo m 3.5

Nina shida ya mkopo m 3.5

miles2020

Member
Joined
Jan 13, 2021
Posts
66
Reaction score
25
Ninahitaji mkopo wa milioni tatu 3.5 ili kuendeleza biashara yangu

Dhamana ya nyumba ipo

Sijaenda bank kwa kuwa sina tabia ya kutumia bank saaana hivyo basi bank statement yangu sio nzuri..... Lakini pia haijafika miezi sita..

Tatizo jingine dhamana iko mkoani Kagera na mimi nipo Mwanza.....hizi microfinace nyingi hazitii mkopo wenye dhamana ya mbali..

Kama kuna aliye tayari kunikopesha naomba anicheck PM
 
Mkuu usiporudisha hela mtu ataweza kuuza nyumba yako??..

Si unajua huwezi kukopesha kama huna leseni?.
Mkuu nina leseni ya biashara
Nina tin namba
Nina bank ila siitumiagi mara kwa mara.. ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaidi ya miezi sita halafu mzunguko mkubwa saaana..

Mimi nina shida ya hela siku hizi chache

NB: Ofcourse ndo maana ya kuweka dhamana.. nikishindwa atauza nyumba.. ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela.
 
mkuu nina leseni ya biashara
nina tin namba
nina bank ila siitumiagi mara kwa mara..ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaid ya miezi sita afu mzunguko mkubwa saaana..

mimk nina shida ya hela siku hizi chache

nb..ofcourse ndo maana ya kuweka zamana..nikishindwa atauza nyumba..ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela
Kuna watu ukichukua pesa kwao hurudishi utahangaika nayo mpaka riba itafikia gharama ya nyumba wanasepa na kijiji
 
mkuu nina leseni ya biashara
nina tin namba
nina bank ila siitumiagi mara kwa mara..ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaid ya miezi sita afu mzunguko mkubwa saaana..

mimk nina shida ya hela siku hizi chache

nb..ofcourse ndo maana ya kuweka zamana..nikishindwa atauza nyumba..ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela
Umeandika kirahisi Sana likishafika munaita watu wabaya unajua maana ya dhamana
 
Sasa kumbe unaweka dhamana ya nini kama unaita mwendawazimu mtu atakae uza dhamana kufidia hela yake. We unatakaje kwani usiporudisha hela za watu kwa wakati?

We unaonekana machinoo Sana wewe
 
hiv umetumia akili zote kweli hapo????

wapi nimeita mwendawazimu???
nimesema hiv...nina vitu vya ndani..ina mana nyumba ina thaman kubwa kuliko mkopo ninaoutaka..so ikifikia kipindi nimekabwa ni bora niuze vitu vya ndani kuliko nyumba..sababu vitu vya ndani vikiuzika m3.5 unapatikani...kwa sasa siwezi uza kwa kuwa hakujawana ulazima huo..

siku nyingine usikaze akili wewe!!!
 
Umeandika kirahisi Sana likishafika munaita watu wabaya unajua maana ya dhamana
kwa hiyo unataka niandike kwa lugha gani ili ionekane ni ngumu sana au serious sana?

mimi nimeandika facts hali niliyonayo katika mambo ya fedha na mikopo..sasa unataka nini cha ziada???

wewe nini maana dhamana???

unajua we mtu mzima!!!!!!!!!
 
mkuu nina leseni ya biashara
nina tin namba
nina bank ila siitumiagi mara kwa mara..ili niweze kukopa huko mpaka niwe na zaid ya miezi sita afu mzunguko mkubwa saaana..

mimk nina shida ya hela siku hizi chache

nb..ofcourse ndo maana ya kuweka zamana..nikishindwa atauza nyumba..ila mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kuuza nyumba ya milion 50 huko kisa m3.. si bora niuze vyote nilivyo navyo ndani ili mradi nipate hiyo hela
Wewe hujaelewa leseni anayozungumzia, anamaanisha leseni ya kukopesha fedha
 
kwa hiyo unataka niandike kwa lugha gani ili ionekane ni ngumu sana au serious sana?

mimi nimeandika facts hali niliyonayo katika mambo ya fedha na mikopo..sasa unataka nini cha ziada???

wewe nini maana dhamana???

unajua we mtu mzima!!!!!!!!!
Mzee una shida halafu umejawa na Ngebe pamoja na maneno ya shobo, Calm down watu wanapokuhoji wanataka wajue usalama wa fedha incase wakitaka kukupa, ila sasa naona wewe utakuwa wa kabila lile la Vingereza vingi anyway uza makorokocho yako hayo ya ndani upate hio hela
 
By the way, huko Kanda ya ziwa Kuna jamii ya wakurya ambayo ni maarufu kwa ukopeshaji (wanakopesha watumishi wa halmashauri, mostly walimu na kukaa na ATM cards zao then mshahara ukitoka mnaongozana bank). Hawa jamaa wapo almost nchi nzima. Mm nafkir ubabe wao wa kudai unawalinda, panga mkononi ukizingua. Kakope kwao sisi wengine kudai hatuwezi. Yaani una shida na pesa hutaki kwenda bank???
 
Mzee una shida halafu umejawa na Ngebe pamoja na maneno ya shobo, Calm down watu wanapokuhoji wanataka wajue usalama wa fedha incase wakitaka kukupa, ila sasa naona wewe utakuwa wa kabila lile la Vingereza vingi anyway uza makorokocho yako hayo ya ndani upate hio hela
You've nailed it mkuu, mtu wa hivi ukimkopesha ukienda kumdai atakuambia, yaani vihela vidogo unadai utafikir ni bilioni kuumiii??
 
Niletee hiyo hati ya nyumba na barua kutoka serikali za mitaa
 
ninahitaji mkopo wa milioni tatu 3.5 ili kuendeleza biashara yangu

dhamana ya nyumba ipo

sijaenda bank kwa kuwa sina tabia ya kutumia bank saaana hivyo basi bank statement yangu sio nzuri.....lakin pia haijafika miezi sita..

tatizo jingine dhamana iko mkoani kagera.na mimi nipo mwanza.....hizi microfinace nyingi hazitii mkopo wenye dhamna ya mbali..

kama kuna aliyetayari kunikopesha naomba anicheck PM
Kwa muda gani unataka riba ni 20% kwa mwezi uko tayari
 
Dhamana ni nyumba sio vitu vya ndani. Alafu achana na mambo ya mikopo hebu ingia ubia na mtu kwenye hiyo biashara yako. Ni ipi hiyo iweke wazi mtu akivutika mnaweza patana.

Back
Top Bottom