American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 890
- 1,511
Fuata ushauri wa madaktari wako humu utakufaNaombeni msaada kama kuna yeyote anaejua tiba mbadala ya mawe kwenye nyongo. hospital wanataka kunifanyia operation ya kunitoa nyongo, so alie na utaalam wa wapi naweza pata tiba naomba anisaidie
Pole nigga ,nenda hosptali kwa spesholisti.Naombeni msaada kama kuna yeyote anaejua tiba mbadala ya mawe kwenye nyongo. hospital wanataka kunifanyia operation ya kunitoa nyongo, so alie na utaalam wa wapi naweza pata tiba naomba anisaidie
Ni nini mzeeSI mawe Kama unavyo fikiri ndugu
Asante mkuuWakat mwngne kwenye heading unaandika "Nina tatizo La mawe kwenye nyongo" ukiandika nina shida ya mawe kwenye nyongo wengine watatafsiri pengine unayahtaj hayo mawe au unayatafuta any way pole ndugu utapona