Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,222
8,526
Salaam Wakuu

Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm.

Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni.

Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya sekondari Edmund Rice Arusha. 6km mpaka kufika arusha city center clock on tower.

Kimeshuka bei, ...πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Picha za kiwanja hizi hapa wakuu, karibuni sana.

 
Kiwanja ni surveyed? Ramani ya mipango mji ya hilo eneo unayo? Why mpaka sasa hakina hati miliki kutoka wizarani?
 
Kiwanja ni surveyed? Ramani ya mipango mji ya hilo eneo unayo? Why mpaka sasa hakina hati miliki kutoka wizarani?
Mkuu kiwanja sio surveyed na vile vile ramani ipo wizara ya ardhi utaipata siwezi kuwa nayo kwani maeneo mengi huku ni squater, wananchi hawana interest sana ila kuuziana kisheria ni muhimu kuliko vitu vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…