Nina shida na picha ya Tanganyika

tecnohailali

Senior Member
May 15, 2017
168
76
Salam kwenu ndugu zangu

Niende moja kwamoja shida yangu kwawenye picha za zamani za Tanganyika. Hata ziwe black and white sio mbaya ila naombeni sana msaada Yani mikoa tofauti mfano Dar Tanga Mara Moshi Zanzibar Arusha Mbeya Kilimanjaro Shinyanga Mwanza Kagera Dodoma Morogoro Lindi Iringa Mtwara Ruvuma Katavi Tabora. Yani mkoa wowote uliopo Tanzania napenda kupata picha zake kama kuna mwenye Nazo pls jamani aziweke hapa.
 
Ila rafiki picha gani hiyo ya Tanganyika inayojumlisha na Zanzibar?hujachanganya mafaili kweli.
 
Mnara wa Askari, kwenye mitaa ya Samora, Makunganya na Maktaba
image.jpg


Ujenzi wa Reli ya Tazara
image.jpg


Vichwa vya train za mwanzo za Tazara zikishushwa Bandarini Dar ( Havina tofauti sana na hivi vya sasa vya Kenya)
image.jpg
 
Naona walimu wa sanaa hasa history hamkat tamaa mnaonesha vipaj vyenu vya kuomba picha za Tanganyika ya kale.
 
Back
Top Bottom