gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
lowasa wa MOU? kama huyo bora tu apotee kisiaasa
Wewe si ni mchungaji wa kanisa fulani harafu una harambee ipo cku mtahukumiwa hapahapa duniani na huyo fisadi.Mimi nina shida binafsi na ENL.Kama kuna aliye na access na secretary wake, au kama kuna extremely close companions wake, mniPM .Ni masuala mema tu.
lowasa wa MOU? kama huyo bora tu apotee kisiaasa
Wewe si ni mchungaji wa kanisa fulani harafu una harambee ipo cku mtahukumiwa hapahapa duniani na huyo fisadi.
Ukishapitia kwa PS wake hiyo sio shida binafsi tena, ni official. Cha msingi ulizia nyumba yake, au mvizie kwenye harambee za makanisa na misikiti.... Hata kama kupitia PS wake.
mwaga hapa JFzitamfikia tu ..labda kama ni mambo ya siri
kwa kuwa id yako ni gamba chovu na sisi tunakupa access ya EL kigamba chovu!
lowasa wa MOU? kama huyo bora tu apotee kisiaasa
mpigie membe ndo walikuwa pamoja na anajua kona zake.
Wewe si ni mchungaji wa kanisa fulani harafu una harambee ipo cku mtahukumiwa hapahapa duniani na huyo fisadi.
Anzisha kainisa atakutafuta mwenyewe