Mkuu usiweke cv mpaka uwasiliane na huyo muhusika na kuhakikisha kama kweli ni mtu sahihi...wengine wanataka cv ili apate cv ya ku edit aweze kuitumia kufanya application zake
Yah ,asante mkuu.. Ndy mana sikutuma kwanzaMkuu usiweke cv mpaka uwasiliane na huyo muhusika na kuhakikisha kama kweli ni mtu sahihi...wengine wanataka cv ili apate cv ya ku edit aweze kuitumia kufanya application zake
Me nipo dodoma kaka 0752343038...tutaftane nimesoma lakin ajira amnamkuu mimi natafuta mtu aliyopo Dodoma , nifanye naye biashara ya mafuta ya alizeti , vipi hatuwezi kuyajenga .