Nina shahada ya ualimu natafuta kazi

Nina shahada ya ualimu natafuta kazi

habari wakuu, nina shahada ya ualimu katika masomo ya literature na kiswahili, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo tajwa, kwa anayejua shule naomba anipe details ili niweze kutuma maombi, au anayeweza kuniunganisha kwenye shule yoyote, hata primary ninaweza kufundisha kwani ninajiamini na naelewa ninachokfanya.
WANAKUJA MKUU.
 
Thanks
Tembelea hapo unaweza pata kitu

Interview TIPs Tz
On this channels you get to see tips that will guide you to have a perfect C.V and smooth interview!

For more discussion follow @interviewtipstz
 
habari wakuu, nina shahada ya ualimu katika masomo ya literature na kiswahili, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo tajwa, kwa anayejua shule naomba anipe details ili niweze kutuma maombi, au anayeweza kuniunganisha kwenye shule yoyote, hata primary ninaweza kufundisha kwani ninajiamini na naelewa ninachokfanya.

Funguwa tuition mkuu kwa masomo hayo ni nomaaaaaa
 
habari wakuu, nina shahada ya ualimu katika masomo ya literature na kiswahili, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo tajwa, kwa anayejua shule naomba anipe details ili niweze kutuma maombi, au anayeweza kuniunganisha kwenye shule yoyote, hata primary ninaweza kufundisha kwani ninajiamini na naelewa ninachokfanya.

Kuna watu ukiona tu uandishi wao unajikuta tu Unaongozwa na roho mtakatifu kuwa anaweza kuwa ndiyo yule uliyepangiwa ..
Jinsia yako please!!
 
Achana na mawazo ya kuajiriwa kama mwl.utalala njaa ajira hazipo cha kufanya kama upo Dom nitafute tushirikiane kibiashara mtaani.
mkuu mimi natafuta mtu aliyopo Dodoma , nifanye naye biashara ya mafuta ya alizeti , vipi hatuwezi kuyajenga .
 
fikiria nje ya box,tafuta passport haraka,kama English ni moja ya somo lako kuu,kopa au fanya chochote rise return air ticket kwenda Vietam ukafundishe kiingereza,watu wanatengeneza pesa huko.ila jiandae kisaikolojia kuwa unaingia kiwanja,na unapoingia kiwanja kamwe hurudi nyuma .good luck
 
Na ww upo Vietnam
 
Na ww upo Vietnam
Jadili Hoja ,tatizo hili la working class ya Tanzania sijui itaisha lini yaani utafikiri tunaishi in a lalaland,unaona kabisa hapo mada ni msaada wa mwezetu kupata kibarua cha kuendesha maisha,na sio Nkanini anaishi wapi!!mimi ninaishi huku Linguse nguse,Ruvuma karibu sana.
 
Kuna watu ukiona tu uandishi wao unajikuta tu Unaongozwa na roho mtakatifu kuwa anaweza kuwa ndiyo yule uliyepangiwa ..
Jinsia yako please!!
Ahahahaha usimsingizie roho mtakatifu bhn
 
Back
Top Bottom