Naitwa Abby naishi Dodoma, nina degree ya manunuzi na ugavi yan Bachelor Degree in Procurement and Supplies management na nimeshasajiliwa na Bodi ya Manunuzi na Ugavi yan PSPTB na nimeshawahi kufanya kazi ya manunuzi na pia kazi ya stores kwa muda fulani kama kujitolea katika hoteli fulani Dodoma.Kwasasa nahitaji mtu yoyote atakayekuwa anahitaji mtu wa manunuzi au stores, au kazi yoyote halali itakayoendana na hiyo au nyingine.