Ukiangalia title
inaonyesha ww ndo unahizo qualification hz, but ndani ya text unasema ni
za kaka yako! Anyaway ntakujibu katika scenario zote mbili (1) wewe ndo
mwenye hz qualification na (2) Qualification za kaka yako
1) Wewe ndo mwenye hz qualification:
Hujiamnini.,waajiri wanataka mtu anayeweza kujiamini
2) Qualification za kaka yako
Hajiamini ndo maana amekutumia ww kumtafutia suluhu ya matatizo yake
Hakuna mwajiri aliyetayari kumpa kazi mtu asiejua thamani ya elimu yake.
Kama unaijua thamani ya elimu yako utajiamini sana!
Mwambie akafundishe hata
sekondari wakati anasubiri kazi ya ndoto zake.kuna vyuo kibao vya
certificate na diploma pia vinaupungufu wa walimu.
Sio kila mtu mwenge GPA kubwa
anaweza kufundisha. Pia, hizo GPA zinapatikanika kwa namna nyingi,
haiwezekani mtu mwenye GPA kubwa namna hiyo asijue afanye nini,
otherwize atakuwa anatuchora....
Usiangalie gpa wala aina
ya kazi. Muambie asake kibarua chochote cha kuanzia. Kuanzia hapo ndo
atafute kazi aliyosomea. Hali ni ngumu, muambie akomae hadi
kieleweke.
HATA KAMA UNA GPA YA 1
CLASS BILA SYSTEM YA (KAMLETE) siku hizi hupati kazi otherwiz kudra za
mwenye enzi....by the way weee ni mwana ume chagama kuwa mjasiria mali..
usingoje kuajiriwa tuu kama upande mmoja ukikataa jaribu mwingine msomi
kama wewe una njia nyingi za kupitia
HATA KAMA UNA GPA YA 1
CLASS BILA SYSTEM YA (KAMLETE) siku hizi hupati kazi otherwiz kudra za
mwenye enzi....by the way weee ni mwana ume chagama kuwa mjasiria mali..
usingoje kuajiriwa tuu kama upande mmoja ukikataa jaribu mwingine msomi
kama wewe una njia nyingi za kupitia
aaa bwana ,kwani kufundisha sec na gpa zinauhusiano gani?tunawalimu wengi form six wanafundisha ashindwe yeye graduate.may be kama amabagua kazi hiyo ni issue nyingine.sio kila mtu mwenge gpa kubwa anaweza kufundisha. Pia, hizo gpa zinapatikanika kwa namna nyingi, haiwezekani mtu mwenye gpa kubwa namna hiyo asijue afanye nini, otherwize atakuwa anatuchora....
Ukiangalia title inaonyesha ww ndo unahizo qualification hz, but ndani ya text unasema ni za kaka yako! Anyaway ntakujibu katika scenario zote mbili (1) wewe ndo mwenye hz qualification na (2) Qualification za kaka yakoNDO TAABU YA KUDESA. UTADESA VYETI HADI PhD LAKINI AJIRA NI KITU KINGINE. HIVI HUYU BWANA ALISOMA NINI HICHO KINACHOMNYIMA KAZI HATA YA USALEMAN? OTHERWISE NAMSHAURI AKASOME POSTGRADUATE DIPLOMA IN ENTREPRISING MIND(PGDEM 606)