Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
nakushauri kaombe kuwa lecturer kwenye vyuo au nenda kaombe kazi kama unataka kuajiriwa ila usionyeshe hiko cheti chako cha hiyo phd onyesha mwisho cha masters vinginevyo utaendelea kukaa home sana tu.
Pole mkuu,
Naona jembe halimtupi mkulima. Very soon you will be blessed. Pia chukuwa ushauri wa clex hapo juu, tumia vyeti vya BA unless masters ni added advantage.
vyuo vingi ili uajiriwe ni lazima uwe na GPA ya 3.8 kwenye degree ya kwanza na mimi nilikuwa na 3.4
Mkuu kama umefaulu vizuri PhD yako nenda taasisi za research and academics. Yaani mavyuo yote utitiri hujapata kazi? Pia waweza ficha cheti cha degree ukaombea kazi cha masters ila hapa panaweza kugoma maana watahitaji experience na ulikuwa nje ya nchi. Ila vuta subira kazi utapata tuuu.Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters.
Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la phd scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma hamburg ujerumani. hivi sasa ninapoongea nina phd ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye phd asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma. huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki.Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara.... maisha haya jamani!!! sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
nitaufanyia kazi ushauri wako mkuuNaomba nkushauri kuna chuo cha mwenge university kipo mosh karibu na kcmc nina uhakika ukienda pale watakufikiria kaka.
pole sana ila usijali fwata ushauri huo mwingine kaombe kazi tumia cheti cha masters na degree ukishapata kazi nakushauri baada ya kupata mtaji wa kutosha jiari uitumie hiyo elimu yako ya phd
ubarikiwe mkuuUkishakuwa na PHD kazi yako ni kufundisha vyuo vikuu,ni wachache sana wanaopata kazi kwenye makampuni binafsi hata ya serikali....well anza kutafuta kazi ya kufundisha hapo utapata.goodluck
Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters.
Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la phd scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma hamburg ujerumani. hivi sasa ninapoongea nina phd ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye phd asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma. huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki.Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara.... maisha haya jamani!!! sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
namaanisha ujiajiri usiishiwe kuajiriwa tu