LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,390
- 6,539
crown umepata kwa ngapi samahani mkuuHiyo hapana nahitaji mark x, crown au hilux
crown umepata kwa ngapi samahani mkuuHiyo hapana nahitaji mark x, crown au hilux
crown umepata kwa ngapi samahani mkuu
crown umepata kwa ngapi samahani mkuu
OK sawa mkuuKama ipo vizuri nitumie picha zake na ku pm namba zangu
Kama bado njoo nikupe mark x nzuri namba DJWakuu nisiwachoshe ninapesa nahitaji gari bajeti kuanzia 10m na isizidi 15m kulingana na gari itakayopatikana mwenye nayo aje pm
Ipo Kluger inahitaji 15m tuWakuu nisiwachoshe ninapesa nahitaji gari bajeti kuanzia 10m na isizidi 15m kulingana na gari itakayopatikana mwenye nayo aje pm
Ipo Kluger inahitaji 15m tu
Mrejesho wakuu
Nawashukuru wote tulio saidizana katika shughuli hii nimefanikisha zoezi shukran za kipekee ziende kwa
1.Mfeterete
2. Saju b
3. Mr.wenger
4. Faruujohn
Nawashukuru sana wakuu
Nikiangalia avatar yako naona wewe sio mrefu ila meno yako ndio marefu.Hiyo hapana minimrefu inaninyima uhuru
Pamoja mkuu ulipata crown nzuri ukihitaji gari karibu nikuhudumie
Nikiangalia avatar yako naona wewe sio mrefu ila meno yako ndio marefu.
Hahahaaa.....umetisha mkuu
Nilipata kitambo ila kwasasa nataka pick up ambayo ni 4x4 hilux/mitsubish au nissanUmepata Gari gani?
Transfer of ownership fee ni Tshs. 10,000/= tunina toyota premio white.6.5 mili. plus transfer of ownership fee.
namba yangu hiyo 0784306696.
Pick-up mitsubishi zinauzwa mnadani 9mNilipata kitambo ila kwasasa nataka pick up ambayo ni 4x4 hilux/mitsubish au nissan
Nimeipata kwa 14.5m ila jamaa nahisi anataka kuniingiza king gari lipo dar kesho nilikua nije kulipia sasa anataka nitakulize 2m kabla sijafika
Pick-up mitsubishi zinauzwa mnadani 9m
Utachekwa mkuu,usilolijua lisikushughulisheaina ya wizi wa kijinga sana ambao hata anekuja mjini leo humtapeli
Sent using Jamii Forums mobile app