Nina Pepo la kupendwa na wake za watu

Hapana mkuu, huwa sipendi kabisa na sina mazoea hayo, na sina mazoea na wanawake kabisa kwani olevel na advance nimesoma boys school na chuo kulikuwa na idadi ndogo sana ya wanawake(ratio 1 man : 10 women) na katika familia tumezaliwa wanaume tupu.
 
Kwa kuwa unajua uko karibu kushinda, hiyo ni nusu ya ushindi. Sio rahisi kushinda mwenyewe. Omba Mungu hiyo tamaa ikuondoke. Kama unamuda nenda kwenye makanisa yenye nguvu ya Mungu hata kama hutamwambia mtu, lakini jipe comitment ya kuacha na huku ukiomba Mungu na kuhakikishia ituvuka.
 

jamani wengine mna bahati yaani unapendwa na wake za watu...wewe tembeza mgegedo tuu
 
Mkuu hawa watu achana nao tu, wana vihoja si kidogo. Mmoja aliwahi kunivizia nimeenda kuoga ile narudi namkuta yupo ghetto kitandani amejialaza akiwa na khanga tu, huku akiwa amejikausha ile mbaya utadhani yupo katikati ya usingizi mzito
 
Hapana mkuu, huwa sipendi kabisa na sina mazoea hayo, na sina mazoea na wanawake kabisa kwani olevel na advance nimesoma boys school na chuo kulikuwa na idadi ndogo sana ya wanawake(ratio 1 man : 10 women) na katika familia tumezaliwa wanaume tupu.
Ulichokieleza sasa hivi ndicho hasa kinachosababisha uwe karibu na wanawake. Hukuwa karibu na wanawake kwa kipindi ulipotakiwa kuwa nao karibu.
 
First date ilikuwa na msichana tu wa kawaida(sio mke wa mtu) na nimedate nao wengi tu, but lilipofika swala la mke wa mtu hawa watu wanajituma sana...yaan kungfu, mieleka, misamba wako poa sana.... Na hasa wananimaliza kwa hizi cheni au shanga za kwa kiuno.
 
inawezekana unapenda sana mteremko hutaki garama, muombe mungu sana akusaidie uoe
 
 


Mla vya wenzie na vyake huliws subiri na vyako vitaliws tena waziwazi. Nakushauri Okoka na ukaombewe uachane na hiyo tabia maana najua fika unatumikishwa bila wewe kujijua na unaona sawa. Siku wakigeuza kibao utajuta. Mungu hadhihakiwi wala kutaniwa sote tumeumbwa na yeye.
 


Mla vya wenzie na vyake huliws subiri na vyako vitaliws tena waziwazi. Nakushauri Okoka na ukaombewe uachane na hiyo tabia maana najua fika unatumikishwa bila wewe kujijua na unaona sawa.

Siku wakigeuza kibao utajuta. Mungu hadhihakiwi wala kutaniwa sote tumeumbwa na yeye.
 
Wake za watu kweli ni watamu sana alafu hawana gharama na hutoa nzima nzima bila kinyongo lkn nakupa ushauri achana nao usije geuzwa Mchele mchele najua kuacha ilivokuwa ngumu xn
 
Mkuu...!

Sio kweli kuwa una nyota..
Unawatongoza.
Na kama wanakutongoza, ni wewe ndio unawatengenezea mazingira ya kukutongoza..

Ila nakuhakikishia mkuu..
Mwisho wako utakuwa ni mbaya sana.. kama utaendelea kutoa huduma kwa wake za watu..

USHAURI

Mkuu kaa nao mbali..
Badilisha mwenendo..
Bado tunakuhitaji..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…