mkuu @SumuMaisha yamenifanya niishi nao hawa watu kwenye mkoa wao.
Ninadhani ni watu wanaochangia kuirudisha nyuma Tanzania yetu.
Hapana mkuu usinchonganishe! mi nataka nibadili mtazamo wangu!!Aisee wazawa kwenye hujuma, ngoja waje
sasa wewe unafikiri hiyo neg. mind ilianza vp, hebu rewind kwanzamkuu sina chuki!!
nataka tu uponyaji!!
Asante @Malila, ingawa na wewe ni wapwani nasisitiza sina nia mbaya,Watu wa Pwani wako vizuri, mazingira yao na yako ndio yanakupa tofauti unayodhani ipo. Kuna toto/jukuu moja la Kighoma Malima limefanya vizuri huko duniani, linaitwa Asanterabi kama sijakosea. Si wameongoza chama tawala mara nyingi zaidi kuliko watu wa Bara, Pwani mara mbili na Mtwara mara moja. Ina maana hata Kingunge hajafanya kitu? Pm wa sasa anatoka bara ya wapi? Kuna Mama mmoja alipambana kudai Uhuru hadi barabara moja hapo Dsm inaitwa kwa jina lake umemsahau kweli? Hivi akina Mtemvu Enzi ya Julius hawakuwa na kitu? Je akina Kibasila ni wa wapi?
@Mumba Daly bana kila kamchezo ulikochezewa unahisi kila mtu kapitia!!Acha kutuchezea akili zetu wewe sema tu kama waliwahi kukufanyia kale kamchezo maarufu ndio maana unawachukia kila ukikumbuka
Kabila langu ni ndani ya asilimia 15 ambazo hujazungukia mkuu!!Ni mtu wa pwani. Nashukuru Mungu nimeizunguka Tanzania karibu asilimia 85. Watu pekee ambao naweza kuwaheshimu kidogo ni Wachaga tu.
Wahovyo kwetu wapo kama ambavyo na kwenu wameja.