Nina ndoto ya kuonana na Raisi yoyote wa nchi nitafanikiwaje?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
909
1,076
Habari za jioni wadau.

Nilipokuwa chekechea mwaka 1994 pale KKKT Korogwe kwa aunt yangu alikuja raisi wa awamu ya pili marehemu Ali Hasan Mwinyi katika uwanja wa TTC chuo cha ualimu Korogwe.

Nikamuomba Aunt aniruhusu niende nikamuone raisi lakini aunt alikataa akihofia umati mkubwa uliokuwepo nililia kukosa kumuona mh raisi.

Wadau narudi kwenu ni ndoto yangu tangu utoto kuonana na viongozi wakuu wa nchi naombeni mnipe mawazo jinsi ya kuonana na Mh.JKM au Mh.SAMIA ili nitimize ndoto yangu ndugu zangu.

Lengo la kutaka kuonana nao ni jema kuufurahisha moyo wangu kwa kutimiza ndoto hii.Yoyote mwenye uwezo wa kunifanikishia hili nitamshukuru sana nina bajeti ya laki tatu za nauli kufanikisha safari.

Naombeni msàada wenu.

Asanteni.
 
Hatua ta kwanza. Nenda kwenye peji yake omba kuonana nae wekaawasiliano yako hapo jieleze n.k
2. Hatua ya pili tafuta connection na mbunge ambaye ni waziri au sio waziri ila yupo karibu na ofisi ya raisi from there establish hiyo connection all the way up.

4. Hatua ya NNE nenda arusha kesho na bango lako kwenye maadhimisho ya maymos andika naomba kuonana na raisi

5. Hatua ya tano safiri mpaka Dodoma yalipo makazi yake fuata prptokali utakazo elezwa

6. Mtafute mwanae ambaye nae ni mbunge mchane laivu kuwa naomba kuunganishwa na mama yako kwani ni ndoto yako ya siku nyingi. Atakuunganisha kama shost wake mkale dina pamoja

7. Mtafute zuhura yunus atakusaidia mjia za kumfikia.

8. mtafute muuza madafu ikulu
 
Hatua ta kwanza. Nenda kwenye peji yake omba kuonana nae wekaawasiliano yako hapo jieleze n.k
2. Hatua ya pili tafuta connection na mbunge ambaye ni waziri au sio waziri ila yupo karibu na ofisi ya raisi from there establish hiyo connection all the way up...
 
Kwa huyu mama kukusaidia sio rahisi ila kama unataka nikukutanishe na mwendazake ni simpo sana, njoo pm tuyajenge
 
Habari za jioni wadau.

Nilipokuwa chekechea mwaka 1994 pale KKKT Korogwe kwa aunt yangu alikuja raisi wa awamu ya pili marehemu Ali Hasan Mwinyi katika uwanja wa TTC chuo cha ualimu Korogwe.

Nikamuomba Aunt aniruhusu niende nikamuone raisi lakini aunt alikataa akihofia umati mkubwa uliokuwepo nililia kukosa kumuona mh raisi.

Wadau narudi kwenu ni ndoto yangu tangu utoto kuonana na viongozi wakuu wa nchi naombeni mnipe mawazo jinsi ya kuonana na Mh.JKM au Mh.SAMIA ili nitimize ndoto yangu ndugu zangu.

Lengo la kutaka kuonana nao ni jema kuufurahisha moyo wangu kwa kutimiza ndoto hii.Yoyote mwenye uwezo wa kunifanikishia hili nitamshukuru sana nina bajeti ya laki tatu za nauli kufanikisha safari.

Naombeni msàada wenu.

Asanteni.
Nenda kwenye page yake ya Twitter andika haya mambo. Watag na Ikulu.
 
Fanya tukio lolote la ajabu sana, ukikatwa omba kuonana na Rais ndiyo utazungumza
 
Back
Top Bottom