Hehehehe kuna Rest hausi moja ipo Baruti pale ni maarufu kwa chabozi ukiingia tu mtu zinajaa dirishani ndipo nilipo mfahamia Sinta kabla hajaanza kuwika kwa Luninga.
Hehehehe kuna Rest hausi moja ipo Baruti pale ni maarufu kwa chabozi ukiingia tu mtu zinajaa dirishani ndipo nilipo mfahamia Sinta kabla hajaanza kuwika kwa Luninga.
Mpwa nilikubwa na dhoruba hiyo sio mbali pale Baruti ule mjengo ni maarufu kwa Chabo kila mtu analijua hilo kwa wenyeji wa pale. Mi nilikuwa najiexpress sasa si unajua raha ya kujiexpress lakini watu wakajaa wanakula chabo mm mzuka ukapanda.