We mwambie hivi...
Hata kabla sijakufuata kukuambia nakupenda, nilianza kudhani kwamba huenda ukawa na mtu kwasababu ya uzuri ulionao. Endelea hivi....
Uzuri wako sio wa kawaida, ni dhahiri kwamba mwanaume yoyote mwenye macho yanayoona sawasawa hawezi kukubali upite mbele yake bila kukutongoza.
Sawa una mtu lkn please naomba unipe nafasi ya majaribio. Kipindi hiki cha majaribio hatutasex wala kukiss. Nakuhakikishia kwamba mwisho wa siku utaprove kwamba nakupenda zaidi ya huyo mtu wako.
Wewe ni wa pekee sana, hustahili kuchezewa kama unavyochezewa na huyo mtu wako, nathubutu kusema anakuchezea kwasababu alistahili awe amekuweka ndani.
Ntaendelea baadae mkuu...