Nina mtu wangu

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Bila shaka kwa wanaume waliokamilika katika tongoza yenu mmeshawahi kukuta na majibu hayo je, huwa mnategua vipi majibu haya toka kwa wadada.
 
Bila shaka kwa wanaume waliokamilika katika tongoza yenu mmeshawahi kukuta na majibu hayo je, huwa mnategua vipi majibu haya toka kwa wadada.
Akikwambia ana mtu wake mwambie kwani wengine wana midoli?
 
Bila shaka kwa wanaume waliokamilika katika tongoza yenu mmeshawahi kukuta na majibu hayo je, huwa mnategua vipi majibu haya toka kwa wadada.

Mtu wake? kwani kamuumba?
 
Kila mtu wa mtu. Asipokuwa demu wa mtu atakuwa dada wa mtu, mama/shangazi wa mtu. Cha msingi usipoteze target. Ok, bye.
 
Ni kosa kubwa sana kumuuliza mwanamke kama ana boyfriend .... yaani kwa ma pro they dont do that.
 
Mmh wengne hujibu hvyo ili kukukata stimu kwaio kazana
 
Ana mtu wake, kwani weye nyani??? Komaa kijana mpaka achanganyikiwe. Mwambie weye uwe wa pili alinganishe tuuu
 
Kwa kweli hata kama sina huwa nawaambia yupo
 
Mwambie wataka kua spare tire! Uone kama hajachangamkia fursa
 
2006 nilipata Hilo Nikiwa siriaz ni kupiga chini nikampata Shem wenu huyu,2009 akaja niambia hukunipenda mi nlikutania tu ndo ukaniacha kabisa na kuoa mtu mwingine. Wanafiki sometimez.
 
unamjibu hivi:hata mimi nini mtu wangu, kwani wewe utambwambi????
 
Aise mmenikumbusha mwezi feb. nimepewa majibu hayo makavu na binti mmoja but sikumuuliza kama ana mtu isipokuwa nilimuuliza umeolewa akasema hapana lakini nina mtu....... duh niliishiwa pozi nikawa mpole mpaka sasa kwa uzi huu napata nguvu za kuanza upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…