Nina mpunga aina ya sindano kutoka Songwe

Daaaah sio kwa bei iyo mkuu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Unauza bei gani kwa gunia la debe 7?

Ukiweza ambatisha na picha ili wasiofahamu waweze kufahamu huo mpunga sindano

Mcheki Rafael yule jamaa wa Uyole, anaweza kununua wote
 
Nina mpunga aina ya sindano kutoka songwe
Zipo gunia 200
Ujazo debe 7
Mpunga ni safi na tayari kwa biashara
Karibuni ,kwa mawasiliano
0681823347
Jitahidi, unapoweka tangazo zingatia masuala muhimu ikiwemo bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…