Israel Godwin Kimani
Member
- Feb 9, 2014
- 11
- 2
Nina mpenzi wangu ninampenda sana naye ananipenda sana infact tunapendana ila sasa mimi baba yangu ni mchungaji yeye kwao mama na baba yake ni waislamu tena swala tano msichana huyo ananipenda sana na anaitaji kuishi na mimi muda wowote nitakaotaka na pia mimi nampenda ni mwanamke mstaarabu na ananipenda pia shida inakuja hapa alijaribu tu kuwauliza wazazi wake kuhusiana na kuoelewa na mkristo alipigwa bonge la kofi je sasa akisema siku ya kutambulishwa itakuaje na pia mimi nilijaribu tu kuongele jambo hili kua kuna msichana wa kíislamu nampenda baba aligomba wiki nzima tunapendana sana huyu mpenzi wangu je tufanyeje ili tuweze kuishi pamoja?
nasikia mtoto anayezaliwa na mwislam na mwanaume wa didi nyingine anhesabiwa kuwa hana baba eti ( Ni mtoto wa mama)
hapo ndo shida inakuja. Kikubwa ni your happiness baaas.......Kipi bora umtafute wa dini yako ambae hamtapendana na kuelewana au asie wa dini yako mnaelewana na kupendana
hapo ndo shida inakuja. Kikubwa ni your happiness baaas.......