Kwani huyu kayamba alizaa na nani bila shaka na kayamba wa kiume. Lakini kayamba wa kiume yeye ana haki ya kuoa msichana mbichi. Ndo maana mnalaaniwa na vizazi vyenu au unamwita mtu kayamba ushamzalisha unaenda oa huyo mbichi afu unamletea wanao toka kwa kayamba wananyanyaswa weee mpaka future zao zinatoweka na ndoa inakosa amani. Mfikiriege that karma will always follow u somewhere.Dada pole. nakubaliana na wewe kabisa. Ila sisi wengine tunakuwa-driven na mila na jamii zinazotuzunguka. ingawa mila mbaya tuziache nami niliziacha zamani, lakini la koua mwanamke ambaye amezaa "KAYAMBA" mila hiyo bado naiunga mkono maana naona ni bora kijana uoe msichana! Na msichana aolewe na kijana, kwa wanaume walio oa unatafuta nini?
Pole kwa kuwa driven na hizo mila. Ila muangalie hizo mila zenu mkaege nazo hukohuko kwa maana muoane wenyewe. Na pia ukiwa driven na mila kiasi cha kumdharau mwanamke hivyo sehemu nyingine utaonekana wa ajabu. Bila shaka we ni kanda ya ziwa maana ndo zenu mwanamke ni kama takataka flani hivi.Dada pole. nakubaliana na wewe kabisa. Ila sisi wengine tunakuwa-driven na mila na jamii zinazotuzunguka. ingawa mila mbaya tuziache nami niliziacha zamani, lakini la koua mwanamke ambaye amezaa "KAYAMBA" mila hiyo bado naiunga mkono maana naona ni bora kijana uoe msichana! Na msichana aolewe na kijana, kwa wanaume walio oa unatafuta nini?
Hapo chacha!Kah! Mwataka fresh! Mbona karibia wote mna watoto au mmeshiriki kutoa mimba au kushiriki kutoa bikira za watu au kugegeda vya wenzenu na vya dezo kama bar m.a....d na hou.. egi..l. kataeni nisikie.
Kwanza wewe kabila gani? Kama mila zako zinakuruhusu songa mbele(najua dini zote hazina kipingamizi??) ingawa nisingelikushauri kuoa "KAYAMBA". Katika wasichana wote TZ nzima hukuona anayekufaa mpaka "Kayamba" Kwa nini hutaki msichana? Nadhani wewe ni dhaifu wa mapenzi!! Makabila mengine kuoa "Kayamba" ni kashifa kwako, unaonyesha to what extent you are weak to women love.
Msamehe bure hajui asemalo.
Anahisi amemaliza kwenye maisha kumbe hana ajualo.
wewe unaumwa wewe, labda dada zako na shangai zako ndio kayamba
Pole kwa kuwa driven na hizo mila. Ila muangalie hizo mila zenu mkaege nazo hukohuko kwa maana muoane wenyewe. Na pia ukiwa driven na mila kiasi cha kumdharau mwanamke hivyo sehemu nyingine utaonekana wa ajabu. Bila shaka we ni kanda ya ziwa maana ndo zenu mwanamke ni kama takataka flani hivi.
Usichukie dada, maneno sikuyatunga mimi, nimeyakuta. Nina dada /watoto wamezaa bila kuolewa, Ni KAYAMBA, you are right. Mwanamke aliyezaa bila kuolewa anaitwa Kayamba! Nina kosa gani. Wanaume sijui wanaitwaje. Umenichukia bure. These are terms describing people with different characters. Mwanamke anayefanya biashara ya ngono anaitwa malaya, mwanamume anayekunywa pombe nyingi anaitwa Mlevi. Pole kama neno limekukwaza.
Ila sio vizuri kuwakashfu wanawake, kumbuka mwanamke ndio amekuleta duniani, amekulea hadi ukafika hapo ulipo, angeamua angukunyongelea mbali usionekane katika uso wa dunia