DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,212
- 714
B yupi tena tunarushana roho mkuuanaitwa "B"
B yupi tena tunarushana roho mkuuanaitwa "B"
Una kilema.wwMwezi tuu[emoji23][emoji23][emoji23]? Mimi hadi mwaka nafikisha.
wewe ni B pia?B yupi tena tunarushana roho mkuu
Kama heading inavyoeleza nina mpango wa kufikisha wiki(siku 7) bila kufanya mapenzi,
Tayari leo nimetimiza siku ya 2 pili bado siku 5 tu nifikishe wiki,
Changamoto ninayoiona mpaka sasa ni moja tu Tangu mchana dushe halitulii kila likiona kiumbe kinapita linashituka ila nitajitahidi kulicontrol,
Naamini kwamba nitafikisha wiki bila Sex nikifanikiwa nitaenda wiki mbili, vivyo hivyo mpaka mwezi,
Nipo kwenye zoezi la kuacha ile kasumba ya kuifanya ngono kama Starehe (Sexual disorder).