Kwa hiyo wewe ukiambiwa maneno matamu na hekima kidogo unahisi unatembea hewani siyo.[emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini, huwa napenda mwanamke mwenye maneno matamu na hekima zake, huwa nsjiona niko salama halafu moyo wangu huburudika.
nina kinyaa na mapepe hata kama mzuri vipi huwa sivutiwi kabisa