Nina mpango wa kufikisha wiki bila kufanya Mapenzi

Nina mpango wa kufikisha wiki bila kufanya Mapenzi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,201
Kama heading inavyoeleza nina mpango wa kufikisha wiki(siku 7) bila kufanya mapenzi,
Tayari leo nimetimiza siku ya 2 pili bado siku 5 tu nifikishe wiki,

Changamoto ninayoiona mpaka sasa ni moja tu Tangu mchana dushe halitulii kila likiona kiumbe kinapita linashituka ila nitajitahidi kulicontrol,

Naamini kwamba nitafikisha wiki bila Sex nikifanikiwa nitaenda wiki mbili, vivyo hivyo mpaka mwezi,

Nipo kwenye zoezi la kuacha ile kasumba ya kuifanya ngono kama Starehe (Sexual disorder).
 
Kama upo Dar, ni kawaida sana hiyo. Ila kwa sisi marijali wa Mwakaleli huku hata kukaa masaa 6 bila kunjunja ni shida sana
 
Back
Top Bottom