Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 733
- 567
Kutokana na ugumu wa maisha nimejiwekea mpango wa kuwa na mpenzi lakini sitaki serious relationship na huwa nakuwa muwazi siku zote kwa wadada kwamba mimi sitaki serious relationship lakini after few days msichana anaanza kuniganda na kudai anataka nimuoe na sio mmoja ilo swala limenitokea Mara nyingi sana nashindwa kuelewa kwanini.
