Huy atakuwa mjamzito....Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.
Kuna wakati anaaga anaenda sehemu kumbe anadanganya anaenda mahali pengine. Kuna siku baba mkwe akanipigia simu baada ya kujua kadanganya hakwenda alikoaga anaenda, akaniambia niwe namweleza kila uchafu anaofanya mke wangu. Lakini naona siyo poa kumwambia kuwa mwanao ananitukana na ni muongo.
Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.
Kinachooniuma ni kwamba mimi ni mkristo na ndoa zetu zikifungwa hakuna kuachana. Nifanyeje? Nahitaji ushauri mzuri na wa hekima. Natanguliza shukrani.
Jifunze kuvumilia matusi. Penda kutukanwa. Akikutukana utakuwa unajionea Raha sana.
Umenikumbusha "stick and carrots ".Ukitaka Aman Oa mwanamke
[emoji117]asokua mlevi
[emoji117]Mwenye hofu na Mungu na mcha Mungu kweli kweli !!.
Hutosikia
[emoji117]anakutukana
[emoji117]anakudanganya kama uyo wako
[emoji117]hakuheshim
[emoji117]anakudharau
Shida mnaoa sababu ana
[emoji117]Makalio
[emoji117]Mahips
[emoji117]mjanja na anayekwenda na wakat.
[emoji117] Ni Mrembo lakini sio Mzuri.
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] Sikia Haijalishi we mwanamme ni Mlevi au husali /huswali ,Wakat wakuoa HAKIKISHA unaoa mwanamke asokua mlevi + anayesali !!
Niliwah sema , mwanamke ni Mjenzi wa familia , hakimu. Na mwalimu wafamilia , huyo mkeo automatically atakuja kuathiri tabia ya mtoto wako.
Ushauri Wangu kwako.
Show your Manhood , Ukimzoesha kuchukulia poa ,mwisho mazoea yatakua Tabia namwisho hutokaa umbadili, wakat wako niwasasa ,kua mkali , mpe Shule , na uwe unachukua maaamuzi magumu !!
Aiseee kua makini sana ,atakapovuka mstar wa heshima na aanze kukudharau ,we sio kitu tena!!!
[emoji117]inakuaje mwanamke akudharau???[emoji51]
[emoji117]inakuaje anakudanganya naww unajua ukweli nabado unatulia????[emoji51][emoji51]
Inakuaje hiiii????? Daaaaahhh Mimi sijui nipoje yaan ,sitakagi kujipa shida moyo Wangu , nando maana sijawah kua na siku mbaya linapokuja suala LA mahusiano. ( you love me ,I love you , nitakupenda kwa dhat ila ukishaleta mbwembwe nyingi Naamsha[emoji12] ).
Tumia " Fimbo na Carrots " , akikuona mkolon poa tuuu but for the sake of your Child na Furaha yako ,Do it !![emoji123]
Komenti nzuri sanaUmenikumbusha "stick and carrots ".
Ushauri mzuri sana .
Mleta mada anaishi na mke kama mpangaji mwenzie..Komenti nzuri sana
[emoji23] kwahakika Mke wajamaa anaraha sana !!Mleta mada anaishi na mke kama mpangaji mwenzie..
Huyo mwanamke ana bahati sana. Maana kwa wengine hilo tusi litasababisha madaktari wakukimbie....
Unaacha mwenye matusi halafu unaoa mzinziKuachana si sahihi isipokuwa kama sababu ni uzinzi
Come againUnaacha mwenye matusi halafu unaoa mzinzi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] ndiyo hivyo kuchepuka kwa sanaCome again
Nani kakuambia ndoa ikifungwa haivunji?,zinavyunjwa sana tuHabari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.