Nina mke ananitukana

tuanzie hapa ni mkeo wa ndoa au sogea tuishi
 
Ukitaka Aman Oa mwanamke
asokua mlevi
Mwenye hofu na Mungu na mcha Mungu kweli kweli !!.

Hutosikia
anakutukana
anakudanganya kama uyo wako
hakuheshim
anakudharau


Shida mnaoa sababu ana
Makalio
Mahips
mjanja na anayekwenda na wakat.
Ni Mrembo lakini sio Mzuri.

Sikia Haijalishi we mwanamme ni Mlevi au husali /huswali ,Wakat wakuoa HAKIKISHA unaoa mwanamke asokua mlevi + anayesali !!

Niliwah sema , mwanamke ni Mjenzi wa familia , hakimu. Na mwalimu wafamilia , huyo mkeo automatically atakuja kuathiri tabia ya mtoto wako.

Ushauri Wangu kwako.
Show your Manhood , Ukimzoesha kuchukulia poa ,mwisho mazoea yatakua Tabia namwisho hutokaa umbadili, wakat wako niwasasa ,kua mkali , mpe Shule , na uwe unachukua maaamuzi magumu !!

Aiseee kua makini sana ,atakapovuka mstar wa heshima na aanze kukudharau ,we sio kitu tena!!!

inakuaje mwanamke akudharau???

inakuaje anakudanganya naww unajua ukweli nabado unatulia????


Inakuaje hiiii????? Daaaaahhh Mimi sijui nipoje yaan ,sitakagi kujipa shida moyo Wangu , nando maana sijawah kua na siku mbaya linapokuja suala LA mahusiano. ( you love me ,I love you , nitakupenda kwa dhat ila ukishaleta mbwembwe nyingi Naamsha
).

Tumia " Fimbo na Carrots " , akikuona mkolon poa tuuu but for the sake of your Child na Furaha yako ,Do it !!
 
Kaka ni kitu gani unasubiri? Pole kwa yaliyokukuta.
Lakin pia man, hakikisha unajua uwongo wake wote, upate ule ukweli ambao unajua hawezi kukataa.
Then akileta za kuleta mueke chini, muoneshe madudu yako, na hapo hapo ufanye maamuzi magumu.

Kaka wewe unamchekea ndio maana anakufanyoa vituko. Be a man and put that bitch to her place.
 
Marapengine ukisikiliza matatizo ya ndoa ya mtu utapatwa na hasira na kujiuliza huyu mwanaume moyo wake ukoje? Je hana macho? Anazuiwa na nini kuachana na mtu asiemjali? Anavumilia ktk lipi? Kwann afunge akili yake kwa huyo mwanamke? Huo ni upumbavu achana na huyo kabla hata hamjafika mbali. Inaelekea hujui kutafuta mke unadhani kila mwanamke anafaa kuwa mke? Wengine ni mbwamwitu. Tafuta mwanaume mzee mwenye busara akuchagulie, hautajuta.
 
ha ha mkuu umejuaje? Wanawake wakali wanaendelea kuwa wakali mpaka ndani...
 
ni bora namshauri mkeo achukue fimbo awe anakupiga upate akili
 
Nani kasema wakristo hamwezi kuachana?

Ukiona analeta mizinguo mrudishe kwao tu chukua mtoto wako lea usiumizwe kichwa na mwanamke uchwara kama huyo.
Biblia inasema alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawez kukitenganisha. Lkn ikifika critical point nitachukua maamuzi magumu kwa kweli
 
Unapingana na baba mtu? Hapo ni dhahiri hata baba yake alishamshindwa, sasa sijui wewe kama uko tayari kulea maisha yako yote.
 
Simply amemuoa mtu ambaye inaonekana hajawa tayari kuwa "mke wa mtu"!
 
Nashukru kwa hekima hii
 
Alafu jamaa anaandika kwa maumiv makali mnooo ,daaaaahhhh !! Nmejisikia mpaka Hasira .

Sitokaa niruhusu Ujinga wa mwanamke uniumize na kunipa maisha ya kua muda wote nawaza ,kwann??? Nimfanyie nn??? Chaaaaaaaa.
How comes??.

Umia juu ya mwanamke wako Pale unapohisi umemkosea wewe na uumie zaidi katika Matatizo anayopitia let say Ugonjwa ,changamoto za biashara n.k ,, Lkn eti MTU mwanamme ,unakaa naww unasema "Jamaaan eeh nimeoa Kimoda ,kila siku ni vita ,dadekiii !!!!"

Mimi ni Mkristo ila siamin katika "Kifo ndo kitakachotutenganisha".,, Wanawake waivyo wanakufanya Ufe mapema ili mtengane kweli kweli
 
Kashajua unampenda ndio maana anatumia huo udhaifu.mtie mbata za maana atatulia
 
Kashajua unampenda ndio maana anatumia huo udhaifu.mtie mbata za maana atatulia
 
melete kwangu ni mrekebishe kama miezi mi nne hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…