Nina mimba ya shemejii.. Ushauri jamanii

Huu ni wivu wa aina gani kweli wanawake wana wivu
 
Tuko kwenye Mada za Gwajima kwanza, kuwa mtulivu... Tutarudi
 
Bora ungekufa tu mbwa kama nyinyi hampswi kuchanganywa na binaadam
 
Kuna watu wivu na roho mbaya na uchoyo wanazaliwa navyo. Ukifikia hatua ya kumchukia dada ako wa damu huo ni uchawi bado kusajiliw rasmi tu uka anza kuruka
 
Unakuta mwanaume ndo kaandika hivi
 
Mbona kama za FB zile
 
Tofauti ya wadada wa mjini na wa kijijini kwahiyo shaurianeni
1 unalewa walevi mshaurini mwenzenu

Mm nikuambie dada angu hauna hakili za kujiongeza na cjui umesoma nn elimu yako haijakusaidia
Huyo mwanaume hana makosa huyo ni lijali katuheshimisha sana napongezq kwa hilo

2 hata ukishauriwa hatakuja kubadilika wewe niwakupigwa matukio ndo ufikilie bila hivyo hatuwaza chochote

3 mwanaume hawezi kuoa tatizo kama wewe ulivutia uzuri lkn dada ako ana hakili zitakazo umia ni sehemu za siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…