Nina mimba ya shemejii.. Ushauri jamanii

Akili kisoda
 
Naomba mungu afungue mtego huu Ili dada yako ajue mtu aliejua ni baba mwema kumbe ni malaya na amefuata mali na simapenzi inawezekana dada angekufa kwa matatizo ya mumewe ila naomba siri ifichuke halafu jamaa aondoke kwa wote.
Kwakifupi hio nyumba hakuna atakaeolewa na msela
 
Mithali 28
13 Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
 
Samahani ila wewe ni TEMBELE LA UANI kwa mbaali naiona safari Yako Kwa Mzee Mabudi.
 
Chai uongo. Umesema huna ajira unaishi nyumbani na mwalimu ila mwisho hapa unasema dada yako anakulipia kodi wewe ni liongo pimbi mkubwa
 
Wewe mimba usiitoe Lea uo ujauzito ujifungue.
 
Wewe ni lasna tullahi
 
Hii iwe chai au kahawa ila wewe mdada hufai hata kwa kulumagia,hata sumu unaweza mwekea dada yako.
 
🤣🤣😂 usbebe ya shemeji beba ya bamkwe kabisa.Aibu
 
Lihadithi la Fesibuku hili tena lina miaka zaidi ya minne huko nyuma. Nimeshalisoma zaidi ya mara 4 🚮🚮🚮

 
Nadhani unafikiria kwa matako kuliko kichhwa chako...

"Mimi ni mzuri kuliko yeye"
"Kwa nini yeye apate kila kitu kizuri"
"Hata kama hatanioa bora tukose wote"

Mmmmmhh huo ni UGONJWA wa HASADI na utakuumiza wewe kuliko hata dada yako!!
Uko tayari kuvunja UDUGU na dada yako kisa mwanaume???

Mwisho wa siku ndugu watakutenga, utawadhalilisha wazazi na machozi yao yatakuwa LAANA KWAKO na utaharibikiwa kila kitu na utadhani UMELOGWA.... mwisho wa SIKU UNAWEZA KUJIUQ!!

Unabebaje mimba kwa mwanaume ambaye ameleta mahari kwa dada yako??

Mtaani wanaume wameisha?

Ushauri wa BURE ikiwa bado kichwa chako kinafanya kazi!!
1. Mimba ina miezi 5 sasa kuitoa ni suicidal na ni dhambi kwa sababu tayari kiumbe kipo Hai.
2. Usifikirie kuwaambia ndugu zako ukweli kwa sababu utamkosa mwanaume, utamkosa dada, utawakosa wazazi wako na unaweza kuwakosa ndugu zako wote isipokuwa wenye akili na nyoyo mbaya kama ya kwako.
3. Utajitafutia LAANA na inaweza kuwa mwanzo wa kuishi maisha mabaya zaodi na ya upweke for the rest of your LIFE.
4. Unaweza kujikosesha mwanaume wa kukuoa na kukufanya mwenza kwa sababu ya historia mbaya utakayokuwa umejijengea.
5. Utamkosa hata huyu mzazi mwenzako kwa sababu wazazi hawatakaa wamkubali kwa sababu ya kuwatia aibu hivyo atakosekana kwenye maisha yako na mwanao.

Cha kufanya!!
Saini Makubaliano ya kisheria na shemeji yako mtarajiwa kuwa katika maisha yenu yote hamtakaa mkausema ukweli huu na ikitokea ameropoka atakuwa liable kisheria kwa damages atakazokuwa amekusababishia ikiwemo psychological demage....

Tengeneza narrative moja kwa wazazi aliyekupa mimba was some kind of one night stand under influence of alcohol or frustration and is no longer reachable and you don't know exactly his origin or family members!!! Hii inaweza kukufanya ukaonekana wa ajabu sana lakini itakusaidia kumbakisha dada, wazazi na ndugu wengine.... mimba is already there and is a burden hivyo utapunguza losses.

Jaribu sana kumwomba Mungu akusaidie maana your road ahead is real tough.... but the Mercy of YOUR LORD IS NOT WORTH OF GIVING UP.

Men are WILD ANIMAL always remember that!!! He never really meant whatever he said to undress and *** YOU!! It might his sexual FANTASY sucking you two both!!!!

Bado una nafasi ya kurekebisha but depends on what you'll do next!!! Am real worry your stupidity might drive you to even damage yourself further!!
 
Wakati unaukatikia mkunyenge wa jamaa mbona haukutuambia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…