Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Kwani wakati unampa ulikuja hapa kutuambia umpeje..hebu tuanzie hapo...

kiukweli wanawake hawaaminiki. wakata kucha wanawatia sana wake za wake....

Pambana na hali yako. The ends don't justify the means

Hiyo mimba tafuta wa kumpa, mimi nilikuwa napita tu

Vipi kwanza mkuu mlisha achana na huyu mwenye mimba yako??

This guy she's idiot anawachezea ....kuna thread kaangalie kapost katolewa kizaz hana uwezo wa kuzaa ...hapo kasema ana mtt mmoja

sexless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna walioni- save kwenye simu zao kama "shosti". Kuna walioni-save kwa majina ya kike.

Kuna wake za watu ambao wamethubutu mpk kunikaribisha makwao na kunitambulisha kwa waume zao kama " mtunza kijungu" cha upatu. Wengine hunitambulisha kama mwanasheria wa vikoba. Wengine hunitambilisha kuwa "tumesoma naye" au "tunafanya wote kazi", n.k

Phone book yangu imejaa majina ya wake za watu kibao. Na si mimi tu hata kwenye maeneo ya starehe wanaume tukikaa tunaumana masikio juu ya kumtafuna mke wa fulani ama mke wa fulani katafunwa na fulani.

Hao wake za watu wenyewe ni warahisi kuwapata na ni gharama nafuu sana kuwa nao. Hupenda kugharamia na kutoa huduma kwa michepuko.

Kwa haya na mengine mengi, unanishawishi vipi kuoa? Nioe ili iweje? Nichapiwe na mm kama wengine?
Huu usemi kwamba " mke wa mtu sumu" ni zilipendwa.

hahahah naona mtu kaumbuka hapa...

Wanawake wanatia aibu sana! Hivi huwezi kusafisha miguu yako mpaka ukasafishwe na mwanamume? Kwanza unakwenda huko huku umevaa kimini wakati unajua kabisa utaonesha uchi wako! Huo ni umalaya!

We ndo wale wanaoenda hospital

YOU=Doctor ninatatizo la kusahau kila dk,
DR.= tatzo hilo limeanza lini?
YOU= tatzo gani?

Docta anakupa rufaa ya kwenda india.
Hiv unashndwa hata kukumbuka post zako za nyuma zinavyokinzana na mpya?

Inaumiza sana mpaka napata mashaka na mke wangu pengine hana tofauti na wewe...
Kwanini mnajirahisisha kiasi hiko angali uko na Mr wako..
Naomba hiyo Mr wako ajue kila kitu kuhusu huyo mpaka rangi

Kwamba ni fedheha olewa na msafisha kucha. Wanawake hawaelewag tu lazma mumeo umuone tofauti sbb ushamzoea ulipaswa umuombe Mungu hujiheshimu ndo maana chup ilionekana shetan yupo bize mda wote pole sana anguka tu muombe samahan mumeo japo ni ngumu ila utaumbuka tu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…