Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Yaani wewe NYEGE zako ziko kwenye KUCHA una JINI mahaba linapenda kukutia MIZUKA .

Wewe ni QUEEN Michepuko .
 
Haya mambo ya infidelity ukikaa ukawaza unaweza kutotamani kuingia ndoani kabisa.
 
Kazi ipo....kwanini uoshwe kucha mpaka papuchi?
 
abort the pregnant ,its a shame and a half to sex with a stranger!!!!!
 
Utamletea mme wako UKIMWI bora nenda kaoshwe mwili mzima na msafisha kucha kaa huko huko .
Ya mume chungu sasa . Leo kucha kesho Meno mpaka kieleweke .
 
Huyu ni mwongo, kuoa siku hizi ni mpaka muonjane, hiyo sababu uliotoa ni ya uongo, kuwa mumeo hakufikishi kileleni, ulikubali ya nn kuolewa naye, wee sema tuu, ni mwingi wa habari hutosheki. Kinachokufaa kwa kweli ni talaka, asubuhi hii uanaanza hivyo, je akichoka kweli.
 
makonda oyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…