No Escape JF-Expert Member Mar 7, 2016 6,663 7,774 Apr 28, 2016 #1 Wadau hiyo ndio bajeti yangu hapo juu, niende showroom gani kati ya Dar au Mwz naweza pata gari ya kutembelea… .
Wadau hiyo ndio bajeti yangu hapo juu, niende showroom gani kati ya Dar au Mwz naweza pata gari ya kutembelea… .
No Escape JF-Expert Member Mar 7, 2016 6,663 7,774 Apr 28, 2016 Thread starter #3 Gari ninazopendelea, Spacio, Raum, Toyota cami… swift. Ila nahitaji showroom si vinginevyo… kama hela yangu haitoshi sihitaji maelezo mengine…
Gari ninazopendelea, Spacio, Raum, Toyota cami… swift. Ila nahitaji showroom si vinginevyo… kama hela yangu haitoshi sihitaji maelezo mengine…
and 300 JF-Expert Member Jun 27, 2012 26,325 36,121 Apr 28, 2016 #5 Nenda show room ya pale mbele ya kituo STUDIO kinondoni unaweza kubahatisha gari za wizi kwa bei rahisi.
Nenda show room ya pale mbele ya kituo STUDIO kinondoni unaweza kubahatisha gari za wizi kwa bei rahisi.
rabiintocavel JF-Expert Member Jun 16, 2013 294 230 Apr 28, 2016 #6 Kwa bei hiyo huwezi kupata ya showroom utapata ya mkononi
V Von Mo JF-Expert Member May 7, 2012 1,819 1,186 Apr 28, 2016 #7 Jipange upya show Room hakuna gari ya Millioni 7
Zero Hours JF-Expert Member Apr 1, 2011 12,943 18,665 Apr 28, 2016 #8 Njoo mwanza nikuuzie spacio m8 Ipo katika ubora wa hali ya juu. 0759741303.