Achana na biashara ya partnership na wabongo utapoteza muda na pesa uskoy
Ungana na
Mshana Jr muende China mwezi March, kwa hiyo 6M yako huko utapata Elimu, Exposure na mzigo kidogo wa kuanzia kazi
Na kama hivo haivitoshi utapata fursa ya kuijua vizuri hiyo biashara ya vifaa vya simu maana utakuwa umeenda jikoni kabisa