El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
Habarii za usiku wana Jf polen na majukumu.
Kijana nimejichanga sasa naitaji kiwanja cha million 1.5 na mm nianze mchakato wa kutoka ktk nyumba za kupanga asanten sana, kiwanja kiwe DSM.
Nawasilisha