nina mil 5 nahitaji vifaa vya muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nina mil 5 nahitaji vifaa vya muziki

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rapunzel, Jul 16, 2012.

 1. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nina bajeti ya mil 5 nahitaji vifaa vya muziki, kwenye spika ziwe sound systerm ya ukweli ambazo nitazitumia kwenye ukumbi mkubwa instruments.jpg
  je kwa bajeti hii inatosheleza? na maduka hapa dar yako sehemu gani?
  kama unafahamu tafadhari nijulishe au ni pm
   
 2. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nenda CITY MUSIC SOUND mtaa wa Uhuru Kariakoo.
   
 3. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  asante kwa kunifahamisha
   
Loading...