Baada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
Hivi hiyo escudo ndo ipiBaada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
Ulipata Escudo?Baada ya carina sasa hivi naomba mwenye suzuki escudo angalau kuanzia namba B, cc 1500, na iwe manual
Tuma Picha basi hata DMIpo igunga tabora kwa million 5
Kama jamaa hajaichukua na Mimi nitumie picha inbox niicheck. Nahitaji sana hiyo chomboIpo igunga tabora kwa million 5